Gerard Pique ahofia Neymar kuondoka

Beki wa kati wa Barcelona Gerrad Pique amedhibitisha kuwa hana uhakika kama mshambuliaji wakibrazili Neymar Jr atabaki katika klabu hoyo.
Siku chache ziizopita Pique alionesha Neymar anaweza kubaki baada ya kuandika “anabaki” katika ukurasa wake wa Instagram lakini hata hivyo Pique amesema Neymar hajasema hivyo ila yeye anaamini hivyo.
Klabu ya Paris Saint-Germain iko katika mbio za kuhakikisha inamsajili Neymar lakini Pique pamoja na wachezaji wengine wa Barcelona wanatamani Neymar abaki.

Comments