MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA
Macho ya Eddy yakaweza kuona msafara mzima wa raisi Praygod unavyo ingia katika sehemu ya abiria wanao safari. Macho ya Eddy yakagongana na macho ya Manka ambaye anamtambua vizuri, akaona jinsi Manka anavyo mshangaa kiasi cha kuhisi amegundulika. Kitendo cha raisi Praygod kusimama na kuzungumza na Manka, kikaanza kupandisha hasira ya Eddy, akataka kuruka katika vizuizi vilivyopo katika upande wake na kuelekea upande wa mzee Godwin anaye lindwa na askari wengi, ila kwa haraka raisi Praygod aliye valia kofia kubwa la kizee akamuwahi na kumshika mkono kwa nyuma Eddy.
“Hapa sio eneo lake Eddy utasababisha mpango kuharibika”
ENDELEA
“Ok nimekuelewa muheshimiwa”
Eddy alizungumza huku akishusha pumzi ila macho yake, akimtazama jinsi mzee Godwin anavyo zidi kutokomea mbele ya macho yake. Wote kwa pamoja wakakutana sehemu ya maegesho ya magari.
“Tumefika salama, tunamshukuru Mungu”
Raisi Praygod alizungumza huku akiwatazama watu wote. Madereva taksi kama kawaida yao, hawakusita kuweza kuchangamkia tenda ya kuwachukua wageni hao.
“Taksi mbili zinatosha”
Madam Mery alizungumza huku akiwatazama madereva wengine ambao, waliwahiwa na madereva wawili walio wahi kufika eneo walilo simama.
“Inabidi tujue tunaeelekea wapi kwa sasa?”
“Tupeleke bahari beach naamini itakuwa ni sehemu sahihi kwa sisi”
“Sawa munaweza kuingia kwenye gari”
Eddy akaingia gari moja akiwa na Phidaya, Sa Yoo na Shamsa. Huku raisi Praygod akiingia gari moja akiwa na Rahab pamoja na Madam Mery. Safari ikaanza huku kila mmoja akiwa kimya ndani ya gari akitafakari lake.
‘Raisi Godwin anawatakia watanzania mapumziko mema ya sikukuu’
Sauti ya redio ya gari walilo panda Eddy, ilisikika vizuri kutoka kwenye moja ya kituo cha redio jambo lililo mfanya dereva taksi kuguna.
“Mbona unaguna ndugu?”
Eddy aliuliza huku akimtazama dereva huyo.
“Kusema la ukweli, tulikosea sana kumchagua raisi huyo. Nchi ameivuruga vuruga na sasa”
“Ameivuruga kivipi?”
“Yaani kwa sasa, anataka kubadilisha hadi mfumo wa utawala. Anataka kutuletea maswala ya mfalme Mswati hapa”
“Duuu!!”
“Ndio yaani anataka kuweka utawala wa ufalme na atashikilia madaraka hadi anakufa na akifa anamrithisha mwane, sasa huo si ujinga kweli”
“Poleni sana”
“AAhaa tumesha poa, ila kusema la ukweli nchi kwa sasa haina uhuru kabisa. Wanao nufaika ni watu wachache sana sisi huku chini tunazidi kuumia. Natamani hata raisi Praygod angeendelea kushikilia nchi”
“Ilikuwaje hamkumchagua kwenye uchaguzi?”
“Ahahaa si unajua ujinga wa kushikiwa masikio. Watu walidai wanataka mabadiliko ya chama cha upinzani sasa mabadiliko ndio haya.”
Dereva huyo alizungumza huku machozi kwa mbali yakimlenga lenga. Ni mmoja wa watanzania ambao wanajutia kabisa kufanya chagua mbalo walihisi ni sahihi kwa nchi yao ila si sahihi kama wanavyo jionea sasa. Wakafika katika hoteli ya bahari beach. Madam Mery akawalipa madereva taksi hao kisha wakaingia ndani na kupokelewa na wahudumu. Wakakodi vyumba vine kwa ajili ya mapumziko.
“Jamaninahitaji kuelekea ilipokuwa nyumba yangu”
Eddy alizungumza wakiwa katika meza moja ya chakula wakijipatia chakula cha mchana.
“Honey unahisi nyumba yetu inaweza kuwepo hadi leo?”
“Nahisi ipo na kama itakuwa haipo basi hakuna kitu cha kufanya.”
“Basi naomba twende wote”
Shamsa alizungumza huku akimtazama Eddy usoni, akisubiria jibu ambalo Eddy atazungumza.
“Itakuwa ni vizuri, Shamsa unaweza kuweka ulinzi kwa baba yako”
Phidaya aliwahi kujibu hata kabla Eddy hajatoa jibu, kutokana ni mbele za watu Eddy hakujibu kitu chochote zaidi ya kukaa kimya.
“Basi nitawapatia pesa kidogo muweze kwenda”
Madam Mery alizungumza na hapakuwa na aliye weza kukataa kwa maana Eddy hakua na kiasi chochote cha pesa. Walipo maliza kupata chakuka cha mchana, madam Mery akampatia Eddy laki moja, kati ya pesa alizo zitoa kupitia ATM, mara baada ya kufika uwanja wa ndege.
“Shukrani”
Eddy na Shamsa wakatoka nje ya hotel, wakakodi taski na kuelekea ilipo kuwa nyumba yake. Hawakuchukua muda mrefu kutokana na foleni kuwa ndogo.
“Dereva simamisha hapo kwenye hilo geti jeusi”
Dereva akatii kama alivyo elekezwa na mteja wake. Akasimamisha mbele ya geti la nyumba ya Eddy, ambaye hakushuka kwanza kuangalia mazingira ya eneo hilo. Utulivu wa eneo hilo, ukampa matumaini ya kushuka kwenye gari.
“Unaweza ukatusubiria hapa nje?”
“Hakuna shaka mkuu”
“Shika kwanza hii ya nauli tuliyo jia, tukichelewa unaweza ukaenda”
“Hakuna tabu kiongozi”
Shamsa akashuka kwenye gari, wakapiga hatua chache hadi kwenye geti. Vumbi jingi lililopo kwenyegeti kidogo likawapa maswali ambayo hawakuwa na majibu nayo kwa haraka haraka. Eddy akataka kugonga mlango ila Shamsa akamshika mkono.
“Ngoja kwanza”
Shamsa akasukuma kigeti kidogo cha kuingilia kwa bahati nzuri akakuta hakijafungwa kwa ndani. Taratibu Shamsa akaanza kuingia kwa tahadhari kubwa, wingi wa majani na yaliyo marefu kwenda juu, yaliashiria fika kwamba nyumba hiyo haina uangalizi wa mtu yoyote.
“Ingia”
Eddy akaingia na kushuhudia hali ya uchakavu iliyopo katika nyumba yake. Wakazidi kutembea kueleka mbele na kufika katika lango la kuingilia ndani kabisa. Mlango huo ulijaa matobo mengi, ambayo Eddy anakumbuka yalitokana na mashambulizi ya wanajeshi kipindi cha nyuma.
“Hawaishi watu”
Shamsa alizungumza huku akitangulia kuingia ndani na kumuacha Eddy akiwa amesimama akiendelea kutazama jinsi nyumba yake hiyo ilivyo chakaa. Wakaendelea kuchunguza maeneo yote ya nyumba yake hadi kwenye chumba chake cha siri, alicho kichimbia chini ya arthi.
“Hiki chumba sijawahi kukiingia”
“Hiki ni chumba changu cha siri ambacho si rahisi kwa mtu kuweza kukigundua, japo nakumbuka askari walijaribu kukivamia ila hawakuweza”
“Nimeimisi sana hii nyumba, ila Eddy unaonaje takaja kuishi tena hapa”
“Itakuwa hakuna usalama, endapo kukigundulia kuna watu wanaishia. Kumbuka mpango wetu”
Eddy akasimama kwenye moja ya ukuta, akatoa moja ya picha kubwa iliyopo ukutani hapo. Sehemu ilipokuwa picha hiyo kuna batani zilizo jificha ambazo zinaendana kabisa na rangi ya ukuta. Eddy akaminya namba hizo na kuingiza namba ya siri. Sehemu ya ukuta hiyo iliyo chongwa usawa wa ukuta ikafunguka, hadi Shamsa akabaki ametoa macho.
“Nifwate”
Eddy alizungumza huku akiingia ndani ya chumba hicho. Akaminya moja ya swichi iliyopo kwenye mlango wa chumba hicho. Mwanga mkali ukatawala ndani ya chumba hicho, na kumfanya Shamsa kuzidi kushangaa. Vibunda vingi vya dola za kimarekani, vimepangwa nusu ya chumba hicho, kiasi kwamba viliwapita hawa wao urefu. Upande mwengine wa chumba hicho kumejaa silaha nyingi za kila aina.
“Eddy……….!!! U…uu…mezitoa wapi hizi pesa?”
Shamsa aliuliza huku akiwa amezisogelea pesa hizo, akaanza kushika kibunda kimoja baada ya kingine akionekana kuto wahi kuona kiashi kikubwa cha pesa kama hicho.
“Hizi pesa nilizitoa kwenye akaunti zangu zote mara baada ya kukabidhiwa uwaziri wa wa ulinzi, baadhi ya pesa nilizipata kule Somalia kipindi kile nilipo kuwa ninaitafuta familia yangu”
“Ahaaa ni zile pesa tulizo zipeleka kwenye bank ya Bacrayce, na ndipo mara ya kwanza kumuona madama Mery”
“Swadataaa hujakosea. Nilichanganya na pesa nyingine nyingine na zote nikaziingiza humu, sikuwaambia kwa maana niliona si vizuri”
“Kweli wewe ni msiri, ina maana hata Phidaya mwenyewe hafahamu?”
“Hafahamu, mtu aliye kuwa anafahamu ni marehemu mwanangu Junio”
“Junio…..?”
“Ndio, tena twende tukaangalie makaburi yao”
Eddy akachukua vibunda vitatu vya pesa, kimoja akampatia Shamsa na viwili akaviweka kwenye suruali yake. Akachukua bastola moja na magazine mbili, kisha wakatoka katika chumba hicho na kukifungu.
“Usimueleze mtu yoyote juu ya hichi chumba”
“Sawa, niamini”
Wakatoka na kuzunguka nyuma ya nyumba hiyo palipo na makaburi ya Junio, mama Eddy na kaburi la Phidya.
“Sasa Eddy, kaburi la mama, si litakuwa halina mtu, kwa maana yeye mwenye si yupo hai?”
“Eheee nimekumbuka, nahitaji kulivunja na kuona ndani kama kweli aliye zikwa alikuwa mke wangu au laa”
“Tulivunje sasa hivi?”
“Ndio, jambo linalo wezekana leo lisingoje kesho”
Wakarudi ndani hadi stoo, ambapo wakavaa manguo ya kufanyia kazi pamoja na kofia ngumu kama wanazo vaa wakandarasi wa barabara. Wakachukua nyundo mbili kubwa wakatoka nje hadi yalipo makaburi.
“Vunja huko na mimi nivunje upande huu”
“Unaonaje Eddy, tukavunja eneo la huku kwenye msalamba”
“Sawa”
Kazi ikaanza kuvunja kaburi hilo lililo tengenezwa na saruju imara. Haikuwa kazi rahisi kwao, ila hawakukata tama, hadi wakafanikiwa kuweza kuweza kufungua mfuniko mzito wa kaburi hilo. Kila mmoja akabaki akiwa ameduwaa. Kwa maana hawakukuta jenza ambalo Phidaya alizikiwa.
”Limekwenda wapi?”
Shamsa aliuliza huku akidumbukia ndani ya kaburi hilo. Taratibu Shamsa akachuchumaa, na kuangalia sehemu ya mbele yake, ambapo kulichomekwa msalaba. Akakuta kuna uwazi mdogo.
“Vipi mbona umechuchumaa”
“Hapa kuna uwazi”
“Uwazi?”
“Ndio”
Ikabidi na Eddy naye adumbukie kwenye kaburi hilo, uwazi huo mdogo, ukamfanya Eddy kuingiza mkono pasipo kuhofia kitu chochote. Akagundua kuna kiji mlango.
“Hembu lete nyundo”
Kwa harka Shamsa akatoka nje ya kaburi na kumpatia nyundo moja Eddy, kisha na yeye akarudi ndani ya kaburi.
“Hembu sogea pembeni kidogo”
Shamsa akafanya kama alivyo elekezwa, Eddy akaanza kuvunja uwazi huo, hapo ndipo wakakutana na mlango huoo wa mbao wenye ukubwa mbao unatosha kabisa kwa jeneza kupita. Eddy akauvunja mlango huoo, giza lililopo ndnai ya sehemu hiyo kulipo mlango huo, ukawafanya washindwe kuweza kuona ni kitu gani kilichopo ndani.
“Unataka kuingia humo ndani?”
Shamsa alimuuliza Eddy huku akiwa amemtolea macho.
“Hapana nahitaji tochi”
“Tochi nimeiona kule stoo”
“Kailete”
Shamsa akatoka na kuelekea hadi stoo, akachukua tochi moja kubwa, na kurudi hadi sehemu ya kaburi, ila kitu kilicho mshangaza hakumuona Eddy katika eneo hilo. Kwa haraka huku wasiwasi ukiwa umejaa, akaingia ndani ya kaburi.
Akawasha tochi hiyo na kumulika ndani ya shimo hilo, bila kusita akaanza kuingia huku anatambaa, kutokana hakuna ukubwa wa kumfanuyaa mtu kuweza kutambaa. Kadri jinsi alivyo zidi kwenda mbele huku akiwa anamulika hakuweza kumuona Eddy jambo liliko mfanya azidi kutambaa kwa kasi kuelekea mbele, mwanga hafifu kutokea mbele ukampa matumaini ya kuamini kwamba sehemu hiyo ni ya kutokea. Akatambaa hadi sehemu hiyo na kutoka nje. Akamkuta Eddy akiwa amesimama pembeni akitazama eneo hilo ambalo ni nje ya ukuta wake, unao tazama eneo la baharini.
“Hapa sasa ndio ninaanza kupata picha”
“Hata mimi mwenyewe naanza kupata picha. Ina maana mama walimtoaa kupitia hapa”
“Ndio”
“Sasa watakuwa ni wakina nani?”
“Kuna mtu anaitwa Ranjiti, huyo nitahitaji kuweza kumpata”
“Ranjiti, Ranjiti. Ahaaa yule daktari kule Japani”
“Ndio”
“Kwa hiyo una mpango wa kurudi tena Japani”
“Sijajua ila ni lazima niweze kuangamiza maadui zangu wote”
“Turudi tu “
Wote wawili wakarudi ndani kupitia njia hiyo hiyo waliyo tokea.
“Muda umekwenda inabidi kurudi hotelini”
“Tutarudije hivi hotelini tunanuka majasho Eddy”
“Sawa tuoge kwanza kisha, tutarudi”
Eddy akapanda gorofani kilipo kuwa chumba chake cha kulala. Akaigia bafuni na kufungua bomba la maji lililo kaa miaka kadhaa pasipo kutumika. Maji yaliyo anza kutoka ni machafu yaliyo jaa kutu ila baada ya muda yakaanza kutoka maji masafi.
Taratibu Eddy akanza kuvua nguo zake taratibu huku akiwa amejawa na msongamano wa mawazo. Kumbukumbu ya sura ya furaha ya mzee Godwin, ikaanza kujirudia kichwani mwake. Jinsi walivyo shikana mikono baba na mwana, wakionekana kuwa na furaha kubwa, kukazidi kumpa hasira Eddy na kujikuta akipiga gumi ukutani huku akitoa ukelele mkali wa hasira. Kelele za Eddy zikamstua Shamsa aliye kuwa chumba cha pili akimalizia kuvua nguo zake. Kwa haraka shamsa akatoka chumbani kwake akiwa amevalia sidiria pamoja na chupi anai ya bikini.
Bila hata kubisha hodi akaingia chumbani mwa Eddy, akasikia kelele hizo zikitokea bafuni, kwa haraka akaingia bafuni na kumkuta Eddy akiwa anaendelea kuupiga ukuta kwa hasira, huku machozi yakimwagika usoni.
“Eddy Eddy Eddy unafanya nini”
Shamsa alizungumza huku akiuwahi mkono wa kushoto wa Eddy una upiga ukuta, pasipo kujali kwamba Eddy yupo uchi au laa.
“Lazima nikuue GODWINNNNN”
Eddy aliendelea kuzungumza huku akiendelea kujitahidi kuutoa mkono wake mikononi mwa Shamsa, ila akashindwa, kwani kwa haraka Shamsa akamkumbatia Kwa nguvu na kumtuliza hasira yake.
“Shiiiiii usilie Eddy nitakusaidia kuhakikisha unamuua Godwin”
Shamsa alizungumza kwa sauti ya upole huku taratibu mdomo wake, akiupeleka hadi ulipo mdomo wa Eddy, na taratibu wakaanza kunyonyana huku kila mmoja hisia za mapenzi zikianza kumpanda taratibu.
SORRY MADAM (79) (Destination of my enemies)
Ubaba na mtoto ukazidi kutoweka kadri jinsi muda ulivyo zidi kwenda, Shamsa hakutaka kuipoteza tena nafasi hii ambayo ameipata kwa Eddy japo ndio mara yake ya kwanza kukutana kimwili na mwanaume ila aakahakikisha kwamba anafanya kila jambo ili kuziteka hisia za Eddy.
Taratibu Shamsa akaendelea kucheza na mwili wa Eddy huku mara kwa mara akichua tango la Eddy na kumfanuya Eddy kuzidi kusisimka. Shamsa akachuchumaa, na kuingiza tango mdomoni, hakuwa na masihara, kwani anahitaji kuweza kupata penzi la Eddy mwanaume aliye mpenda akiwa katika sura ya Black Shadow.
Eddy akazidi kutoa miguno ya raha huku akimtazama Shamsa jinsi anavyo nyonya tango lake, Eddy akashusha mkono wake wa kulia hadi kwenye kifua cha Shamsa na kuanza kuchezea maziwa yake yaliyo simama vizuri.
Shamsa alivyo jiridhisha na kazi aliyo ifanya, kwa haraka akasimama na kuvua, chipi pamoja na sidiria yake kisha, akashikilia ukuta wa bafu na kumuacha Eddy kufanya apendacho. Eddy taratibu akajikuta akiingia kwenye mtego wa Shamsa, kwani ni ngumu sana kwa mwanaume aliye kamilika kila kona kuweza kuruka mitego mikali kama anayo ifanuya Shamsa, tena isitoshe Shamsa, ni binti mzuri aliye umbika na mwenye sifa zote za kumtega mwanaume wa aina yoyote anaye mtamani. Jinsi tango lilivyo anza kuzama ndivyo jinsi Shamsa alivyo jikuta akitoa miguno ya maumivu, huku akijitahidi kujikataza.
“Taratibu dady”
Shamsa hakusita kutoa maelekezo, na kumfanya Eddy kugundua kwa haraka mara baada ya kuanza kuona damu zikiwa kwenye kichwa cha tango lake.
‘Ina maana huyu binti ni bikra?’
Eddy alijiuliza huku akiingiza tango lake taratibu kiasi cha kufikia nusu, Shamsa, alizidi kutoa miguno ya maumivu tena kwa sauti ya juu, hadi Eddy akatamani kutoa tango lake kwenye tunda la Shamsa.
“No dady usitoe, tamu”
Shamsa alizungumza huku akijirudisha nyuma, kulifwata tango hilo. Eddy hakuwa na jinsi zaidi ya kuanza kumshuhulikia binti aliye mkuaza mwenyewe. Shamsa alizidi kulia kwa furaha huku akijitahidi kufanya vitu kama alivyo weza kuzishuhudia kwenye baadhi ya filamu za ngono. Mechi ikachukua dakika kumi na saba kila mmtu akawa tayari amesha fika kileleni.
“I love you Eddy”
Shamsa alizungumza huku akimkumbatia Eddy kwa nguvu, baada ya kumalizika kwa mechi. Eddy hakujibu kitu chochote zaidi ya kujawa na aibu ambayo hakuwahi kuitegemea siku hata moja kama inaweza kuja kutokea kwenye maisha yake. Wakaendelea kusimama wakiwa wamekumbatia huku maji yakiendelea kuwamwagikia kwenye miili yao.
“Twende nyumbani”
Eddy alizunguzma huku akimuachia Shamsa.
“Ila bado hatujaoga, una damu damu kwenye nanilio yako”
Eddy akajitazama kwenye tango lake, na kujikuta akizidi kumuonea Shamsa aibu. Wakaoga kwa pamoja, Eddy akawa wa kwanza kutoka bafuni na kuzivaa nguo zake kwa haraka. Shamsa akatoka bafuni, huku mwendo wake wa kutembea ukiwa umebadilika kidogo, jambo lililo mfanya Eddy kustuka. Kila Shamsa alivyo mtazama Eddy ndivyo jinsi alivyo zidi kumuonea aibu, moyoni mwake, akazidi kujilaumu na kuona heshima kati yake na Shamsa imezidi kuvunjilka. Shamsa akaingia chumbani kwake na kuvaa nguo zake huku akiwa amejawa na raha sana kila muda akawa anakumbuka jinsi Eddy alivyo kuwa akimshuhulikia.
Wakaongoza pamoja hadi getini, kwa bahati nzuri wakamkuta dereva taksi akiwa anawasubiria pasipo kuondoka.
“Tumekuchelewesha eheee”
Eddy alizungumza huku akifungua mlango wa mbele wa taksi hiyo na kuingia.
“Hapana mkubwa”
“Pole sana”
“Hakuna tatizo, tunarudi kule kule hotelini si ndio?”
“Hapana twende baa yoyote nzuri”
Shamsa alidakia na kumfanya Eddy kugeuka nyuma na kumtazama Shamsa usoni, ambaye hakusita kumkonyeza Eddy na kumfanya kugeuza sura yake mbele huku akishusha pumzi nyingi.
“Turudishe hotelini tu, muda umekwenda”
“Eddy”
“Shamsa muda umekwenda sasa hivi inakwenda saa tatu kasoro”
“Sawa ila sijapenda”
“Utakwenda kesho na mama yako kwenye baa unayo itaka”
“Kaka huyu ni mwanao nini?”
“Ndio”
“Umebarikiwa kuwa na mtoto mzuri sana”
Maneno ya deeva taksi yakazidi kuumiza moyo wa Eddy, anaye endelea kujutia dhambi ya kuzini na Shansa, binti aliye mkuza tangu akiwa bado binti mdogo. Eddy hakujibu kitu chochote zaidi yakukaa kimya. Wakafika hotelini ambapo, Eddy akatoa noti mbili za dola mia ambazo ni sawa na kama shilingi laki nne za kitanzania. Akamkabidhi dereva, kisha wao wakashuka.
“Nimesahau kitu kaka, nipatie namba yako kesho nahitaji uje kunichukua hapa hotelini”
Eddy alizungumza huku akirudi kwenye taski, dereva taksi akanza kumtajia Eddy namba yake ya simu.
“Sina simu hapa, hembu niandikie kwenye kikaratasi kama huto jail kwa maana kichwa change hakipo vizuri”
Dereva taski kwa furaha aliyo kuwa nayo kwa haraka haraka akatoa kalamu na karatasi na kuindika namba yake kisha akamkabidhi Eddy aliyo itazama vizuri.
“Kesho nitakupigia nikikuambia bahari beach, basi wewe njoo”
“Sawa mkuu. Asante sana”
“Usijali, usiku mwema”
Eddy akaondoka na kumucha dereva taksi akifunga kioo cha na kuondoka. Tayari Shamsa alisha tangulia ndani, moja kwa moja akaelekea hadi kwenye chumba wanacho lala na Sa Yoo na kumkuta akitazama vipindi vya watoto kwenye Tv.
“Na ukubwa wako unatazama katuni”
“Ahaa kwani katuni zina ukubwa?”
“Hizo ni za watoto”
“Mmmm. Mbona unatembea kwa kuchechemea vipi?”
“Aaa….aah nilianguka na kukita goti chini”
Shamsa alijibu huku akijitupa kitandani, akiwa na tabasamu pana usoni mwake. Akatoa kibunda cha pesa alicho pewa na Eddy na kumfanya Sa Yoo kuacha anacho kiangalia na kuzishangaa pesa hizo.
“Umezitoa wapi pesa zote hizo?”
“Amenipatia Eddy”
“Eddy anapesa zote hizi?”
“Ndio, baba yangu huyu ni tajiri”
“Naomba kidogo na mimi”
“Hahahaaaa”
Shamsa akachomoa noti kadhaa pasipo kuzihesabu akamkabidhi Sa Yoo na kumfanya Sa Yoo, naye kujawa na furaha pasipo kugundua kwamba furaha ya mwenzake imetokana na penzi zito alilo patiwa na Eddy.
Ukimuangalia usoni ni lazima utagundua kwamba Eddy anamawazo mengi kichwani mwake, kwani hata sura yake imepoteza furaha kabisa. Moyoni mwake alizidi kuendelea kujilaumu ni kwanini alifanya mapenzi na Shamsa.
“Honey mbona una mawazo”
Phidaya aliuliza swali hilo mara tu baada ya Eddy kuingia chumbani na kukaa kitandani.
“Kichwa kidogo kinanisumbua”
Eddy alizungumza huku akitoa vibunda vya pesa, na kuviweka kitandani, kisha akatoa na bastola yake pamoja na magazine alizo zichukua na kuviweka kitandani kwa pamoja.
“Nikuletee dawa?”
“Kama ikiwezekana”
Phidaya akashuka kitandani na kukaa kwenye sofa, akachukua mkonga wa simu ulipo mezani, kisha akauweka sikioni, na kuminya namba za huduma katika hoteli iyo.
“Nahitaji dawa za kutuliza maumivu ya kichwa”
“Chumba namba ngapi?”
“Namba hamsini na nane”
“Mgonjwa anatumia dawa za aina gani?”
Sauti ya muhudumu ilisikika na kumfanya Phidaya kuziba sehemu ya kunasia sauti kwa kiganja, na kumtazama Eddy.
“Eti honey, wakuletee dawa za aina gani?”
“Zozote tu, ila zitulize maumivu ya kichwa”
“Mletee dawa ambazo zinaweza kutuliza maumivu kwa haraka”
“Sawa”
Phidaya akakata simu na kuirudisha sehemu yake husika na kurudi kitandani.
“Vipi nyumba yetu umeikutaje?”
“Hakuna watu wanao ishi, kuna majani mengi sana”
“Masikini wee, kutakuwa kumechakaa eheee?”
“Ndio kumechakaa, ila kuna baadhi ya vitu vyangu vipo bado havijaguswa?”
“Magari?”
“Hatujakuta gari hata moja. Tena tu………”
Kabla Eddy hajamalizia kuzungumza mlango wa chumba chao ukagongwa na kumfanya Phidaya kusimama na moja kwa moja akaelekea mlangoni. Akafungua mlango na kukutana na muhudumu akiwa ameshia pakti ya dawa.
“Asante ehee”
“Sawa dada”
Muhudumu huyo akaondoka na Phidaya akafunga mlango na kurudi kitandani alipo kaa mumewe.
“Nikufungulie dawa unywe sasa hivi?”
“Hapana, nimekumbuka basi sijala”
“Doo ungenikumbusha nikuagizie chakula”
“Nitakwenda kula huko huko. Ila leo tumefanya kazi ya kulivunja kaburi lako”
“Eheee??”
“Ndio tumelivunja kaburi lako ili kuweza kupata ukweli”
“Ehee mumekuta nini?”
“Hatukukuta chochote, ila tulikuta njia ambayo inatokea hadi nje ya ukuta, kule upande wa baharini. Ina maana baada ya sisi kukuzika, basi wao wakakutoa kwenye njia hiyo na kuondoka”
Phiday akabaki akiwa ameacha mdomo wazi kwa kushangaa.
“Kifo chako kilikuwa ni changa la macho, na yote ameyefanya huyo ranjiti”
“Mume wangu nakuomba tumkamate ranjiti haki ya Mungu ukimkamata niache nimuue kwa mkono wangu mimi mweyewe”
Phidaya alizungumza huku akiapia kwa msisitizo mkubwa.
“Usijali tutamkamata tu, naomba unitolee nguo nikale”
“Sawa”
Phidaya akanyanyuka kwenye kitanda na kufungua kabati. Akatoa nguo za Eddy, ambaye yupo bafuni akiogo.
‘Kwa nini Shamsa umenifanyia hivi?’
Eddy alizungumza huku akiwa amesimama maji yakimwagikia mwili mzima. Akatingisha kichwa na kumalizia kuoga kwa haraka akatoka bafuni na kukuta nguo zipo tayari.
“Honey nisindikize kwenda kula?”
“Baby kidogo nimechoka, na ninamfikiria Ranjiti ni adhabu gani ninaweza kumpatia pindi utakapo mkamata”
“Ok pumzika, ila angalia usije ukaumwa na kichwa. Nipatie hiyo bastola na pesa kadhaa”
Phidaya akafanya kama alivyo agizwa na mume wake. Eddy akaichomeka bastola yake aliyo ichomeka magazine iliyo jaa risasi kwa nyuma, kiunoni na kuifunika kwa tisheti yake nyeusi aliyo ivaa. Pesaa zakaziweka kwenye suruali yake ya bluu, iliyo mkaa vizuri mwilini. Raba yeusi zenye soli nyeupe, zilimfanya Eddy kuonekana ni handsome sana, ukiachilia sura yake ya bandia aliyo tengenezwa, iliyo zidisha mara dufu, uzuri wake.
“Kuwa makini honey”
“Usijali na rudi mida hii”
“Alafu raisi aliniambia kwamba kabla hujalala muonane”
“Raisi?”
“Ndio”
“Si watakuwa chumbani kwao?”
“Nahisi ila sina uhakika kwa maana mimi baada ya kumaliza kula, nilikuja moja kwa moja huku chumbani”
“Poa nitaonana naye”
Eddy akatoka chumbani na kumuacha Phidaya akiwa amejilaza kitandani. Eddy hakutaka kwenda kwenye chumba cha raisi Praygod na Rahab. Moja kwa moja akaelekea sehemu ya kupatia chakula katika hoteli hiyo.
“Kaka unahitaji chakula gani?”
Muhudumu wa kike aliye valia sare zake nzuri, zinazo fanana na wahudumu wangine wa kike alizungumza huku akiwa amesimama mbele ya meza aliyo kaa Eddy.
“Muna chakula gani?”
“Menyu yetu ya chakula hiyo hapo mezani”
Eddy akachukuakitabu kidogo kilicho andikwa orodha ya vyakula vinavyo patika katika hoteli hiyo.
“Niletee pronse na chipsi kavu”
“Ok kinjwaji”
“Niletee juisi ya chungwa”
Muhudumu huyo akaondoka na kumuacha Eddy akiwa amejawa na mawazo, mengi akilini mwake. Kitu kilicho muumiza kichwa zaidi ni jinsi gani anaweza kumuangusha Mzee Godwin ambaye kwa sasa ndio ameshikilia dola ya Tanzania.
Wasichana wanne walio valia vizuri, wakaingia ndani ya sehemu hiyo ya kulia. Wakaka meza ya pembeni na Eddy, kila mmoja akaonekana kumtumbulia macho ya kumtamani Eddy. Eddy hakuwatilia maanani, zaidi ya kuendelea kuwaza ni nini afanye. Muhudumu akamletea glasi iliyo jaa juisi.
“Kaka chakula nitakuletea kama dakika tano, pronse ndio wanatengenezwa”
“Ok utaniletea na pilipili”
“Sawa”
Eddy akapiga fumba moja la juisi, akashangaa kuona kiti cha pembeni yake kikisogezwa, ikambidi kugeuka na kumtazama ni nani anaye kigeuza. Akamkuta madam Mery akimalizia kujiweka vizuri kwenye kiti hicho.
“Daa umenistua”
“Pole”
“Mimi nilijua ni hao wadada hapo pembeni, ndio wamekuja kukaa na mimi”
“Kwa nini unasema hivyo?”
“Kwa maana waona mara kwa mara wananiangalia na kuzungumza zungumza kichini chini”
“Ahaa acha woga, nina habari ambayo nahitaji kukufahamisha”
“Eheehee habari gani?”
Madam Mery akaweka ‘Tablet’ yake mezani na kuanza kuminya minya kwenye kioo akiandika kitu ambacho amekusudia kuweza kumuonyesha Eddy.
“Nimeingia kwenye mtandao wa D.F.E kwa siri sana kuweza kuangalia ni mpango gani ambao wanakwenda kuufanya mwisho wa mwaka huu”
“Weee hawawezi kukustukia?”
“Hapana nime hack akaunti ya mmoja wa wanachama wa kuaminika, kwa hiyo sio rahisi kwa wao kuweza kuniona. Kukutafuta wewe ni mmoja wa mpango wao ulipo kwa sasa. Ila ukiachilia mbali hilo wana mpango wa kutoa kafara kwenye moja ya mikusanyiko mikubwa ya watu na zamu hii ni hapa Tanzania kwa mkuu wao Mzee Godwin”
“Nini?”
“Ndio na mzee Godwin mwenyewe amedhimisha hilo lifanyike, ndio maana ameondoka nje ya nchi hii. Baada ya tukio hilo wanakija kufanya mkutano wa siri hapa Tanzania, sasa hawajaweka bayana ni wapi wanakwenda kufanya hilo tukio”
Kabla Eddy hajazungumza kitu muhudumu aliye weza kumuagiza chakula, akaweka sahani tatu mezani, moja ikiwa na pronse, nyinngine ikiwa na chipsi huku moja ikiwa na uma apmoja kisu cha kulia.
“Asante dada. Vipi agizia chakula”
“Hapana mimi labda aniletee juisi tu. Chakula nimesha kula”
“Juisi gani unahitaji?”
“Juisi ya pera munayo?”
“Ndio ipo”
“Niletee”
Muduhumu akaondoka na kumuacha Eddy na madam Mery wakiandelea kuzungumza huku Eddy akila taratibu.
“Ngoja nikuonyeshe orodha ya viongozi wa juu wa muunganiko huu, ambao nina amini watakuja hapa nchini kwenye kikao baada ya tukio”
Madam Mery akanza kutafuta viongozi, alipo hakikisha amewapata wakiwa na majina pamoja na picha zao, akamkabidhi Eddy tablet yake ili kuwatazama. Eddy mtu wa kwanza akamuona mzee Godwin akiwa ndio mmiliki, huku msaidizi wake akiwa ni John, mtu anaye kumbuka vyema alikuwa rafiki na tayari alisha muua.
“JOHN si nilisha muua?”
Eddy alizungumza kwa sauti ya chini huku akiitazama picha ya John.
“Hapana bado yupo hai tena kwa sasa ni kilema”
“Kilema?”
“Ndio na nimefwatilia muda mchache ulio pita nimesikia wanaanza kufanya majaribio ya kuweza kumapndikizia viungo vya mwanadamu atakaye endana naye”
“Sijakuelewa hapo madam”
“Yaa wanahitaji binadamu mwenye cell kama zake, na wamuunge viuongo na ikiwezekana anaweza kurudi katika hali yake ya kawaida”
Eddy akabaki akiwa ametoa macho, huku akiitazama picha ya John, wasiwasi mwingi ukamjaa, akifahamu kwamba ni lazima John naye anajipanga kwa kuweza kulipiza kisasi dhidi yake. Madam Mery akageuka na kuwatazama wasichana hao, akastuka na kumgeukia Eddy.
“Vipi mbona umestuka”
“Hao wasichana ni hatari sana”
“Hatari sana kivipi?”
“Hawa ndio walikuwa walinzi wa mzee Godwin kipindi cha kampeni na waichana hawa, walikuwa magaidi wanao tafutwa, huku mwenzao mmoja akiwa ni Rahab mke wa raisi Praygod.”
Madam Mery alizungumza kwa sauti ya chinichini, huku wasiwasi mwingi ukiwa umemjaa.
“U…unataka kuniambia hawa warembo ni magaidi?”
“Ndio na kwa sasa wote wamepewa uwaziri, kwa hiyo hapo ni mawaziri”
“Mungu wangu?”
“Ndio hivyo, nchi kwa sasa inaongozwa na wendawazimu”
Gafla milio ya risasi ikaanza kusikika eneo la walilopo, katika kutazmaa tazama Eddy akawaona wanaume watatu walio jifunika nyuso zao kwa mabushori meusi, kila mmoja mkoni mwkae ameshika bunduki aina ya SMG. Wakipiga risasi hewani na kuwaamrisha watu wote kulala chini, na anaye lete ubishi anapigwa risasi.
Comments
Post a Comment