LIVE: Rais Magufuli awasili Urambo Tabora


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Urambo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi akitokea wilayani Kaliua ambako alizindua barabara ya Kaliua – Kazilambwa. Tazama moja kwa moja kutoka Urambo Rais Magufuli akiwahutubia wananchi muda huu

Comments