Mamia ya raia yalikusanyika katika eneo la Gracis mjini Barcelona kupinga mashambulizi ya kigaidi yaliotokea mjini humo Agosti 17.
Tayari nchini Uhispania watu 120 walisha fariki katika mashambulizi ta kigaidi na wengine zaidi ya 130 kujeruhiwa.
Waandamanaji walionekana wakiwa na mabango ambayo aylikuwa ba ujumbe ambao unalaani vikali matendo ya kigaidi.
Mashirika la kiislamu, vikosi vya zşma moto na mashirika mengine tofauti yalishirikiana katika maandamano hayo ya kupinga ugaidi

Comments
Post a Comment