BREAKING: CCM yaita Waandishi ghafla, yaongelea maamuzi ya Mahakama Longido (+video)

>>>”Leo tumewaita kwa ghafla kwa sababu kuna tukio kwetu Chama Cha Mapinduzi tuliona vema na haki tuwahusishe Wanahabari ili kupitia kwenu Umma wa Watanzania upate kufahamu” – Humphrey Polepole……… 
“Lengo la Uchaguzi huu ni kukirejesha Chama kwa Wanachama” – Polepole
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Comments