DEMBELE HUYO RASMI ATUA ZAKE BARCELONA TAYARI KWA KAZI


Ousmane Dembele ametua rasmi Barcelona na kukaribishwa na kwenye Uwanja wa Camp Nou.

Dembele mwenye umri wa miaka 20 amejiunga na Barcelona akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Baadhi ya mashabiki walijitokeza kwa ajili ya kumuona kiungo mwenye kasi hiyo.





27Aug2017

0 COMMENTS:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer 
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

delina1.jpg
Free Image Hosting

Comments