VIDEO: Jinsi Madawa ya Kulevya yanavyoingizwa Zanzibar na Ushoga

Kumekuwa na baadhi ya taarifa zikieleza kuwa asilimia kubwa ya waingizaji wa dawa za kulevya nchini Taanzania wanatumia kisiwa cha Zanzibar kuingiza dawa hizo.

Muungwana Blog imefunga safari mpaka Kisiwa cha Unguja na imekaa kwenye mahojiano maalumu na Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahamoud visiwani humo, ambapo ameueleza mtandao huu njia mbili kubwa ambazo zimekuwa zikitajwa kuwa wafanyabiashara wa Dawa za kulevya huzitumia kuingiza Dawa hizo Zanzibar.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

Comments