VIDEO: Kesi ya Wema, Mahakama imekataa kupokea Vielelezo vya ushahidi


Mahakama ya hakimu mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekataa kupokea vielelezo vya ushahidi wa msokoto na vipisi viwili vya bangi vilivyotolewa na upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Wema na wenzake.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo amesema Mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu vina kasoro >>> “Nakubaliana na hoja kwamba msokoto wa bangi na vipisi vina kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua Mahakamani“

Kesi hiyo imeahirishwa hadi September 12/2017.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

Comments