VideoMPYA: Maua Sama katuletea hii ya kuitazama, ‘Katu Katu’

Star kutoka Bongoflevani Maua Sama ametuletea hii video ya wimbo wake mpya ‘Katu Katu’ ambayo imefanywa Nairobi, Kenya chini ya Directer Hanscana…itazame kupitia hapa ina dakika 3:37
”Nilikuja DSM sina hata mahali pakuishi”-Izzo Buznesss 

Comments