Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake cha kwanza ambacho leo kitaanza katika mchezo wao dhidi ya klabu ya Ruvu Shooting katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye hatua ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018.
Kikosi cha Simba kinaongozwa na Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog huku mlangoni Aishi Manula akichukua nafasi.
Aidha klabu ya Ruvu Shooting nayo imetangaza kikosi chake ambacho leo kitaivaa klabu ya Simba katika ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu 2017/2018 ambapo Ruvu Shooting wao walisema kuwa Simba hawana uwezo wa kuifunga klabu hiyo.

Comments
Post a Comment