Skip to main content
YANGA 0-0 LIPULI 'LIVE' KIPINDI CHA KWANZA, UWANJA WA UHURU
Dk ya 5: Yanga wanamiliki mpira muda mwingi.Dk ya 1: Mchezo umeanza kwa kasi ndogo.Kipindi cha kwanza kimeanza, huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, timu zote zimeingia uwanjani kucheza mchezo wao wa kwanza msimu wa 2017/18.
Comments
Post a Comment