Taasisi ya ASW-HAABUL KAHFI ISLAMIC CENTER iliyopo Yombo Malawi Dar es Salaam jana katika siku kuu ya Eid Al Hajj ilifanikiwa kuchinja Ng'ombe 18 na Mbuzi 19 kwaajili ya kutoa Sadaka kwa watu wasiojiweza.
Idani ya walipewa Sadaka hiyo:
Mayatima 80, Masikini 100, Wajane 50, Wanaoishi katika Mazingira Mgumu 150, Wanafunzi wa Madrasa 150.
ASW-HAABUL KAHFI ISLAMIC CENTER inapenda kutoa Shukrani zake kwa watu wote waliofanikisha swala zima la Uchinjaji na Utoaji sadaka kwa watu wasio jiweza.
Shukrani ziwaende Mwenyekiti DADI FAKI HAMAD, MW/kti Msaidizi HARUNA, Katibu AZHAR HUSENI kwa kusimamia na kutekeleza swala Zima la ugawaji wa sadaka hii..
















Comments
Post a Comment