Katibu mpya UWT aanza na moto, "Wasichana wajipange kuvaa magauni manne"



Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mwl. Queen Mlozi, ameongea na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kukalia kiti hicho miezi mitatu iliyopita.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Comments