Chama cha Wananchi CUF kimeibuka na kudai kwamba Mwenyekiti wake wa Wilaya ya Kwimba alinunuliwa na Chama cha Mapinduzi ili kuwafanyia hujuma wasishinde uchaguzi wa udiwani katika Kata ya Myoma ambayo wamekuwa wakiiongoza tangu mfumo wa Vyama vingi uanze nchini.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya ameyasema hayo wakati akielezea hali ya kisiasa nchini pamoja na chaguzi ndogo zinazoendelea katika maeneo mbalimbali ukiwemo wa ubunge katika majimbo matatu ya Korogwe Vijijini, Monduli na Ukonga.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment