Baada ya tetesi na minong'ono mbalimbali kuhusiana na Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha Nachuma kuhusisha kuhamia CCM, Mbunge huyo amefunguka na kusema kuwa hawazii kabisa kuhama chama huku akibainisha kuwa Mtwara mjini ni ngome kuu ya CUF kwenye mikoa ya Lindi na Mtwara.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment